EDS(Education difference security) inatoa mafunzo ya ulinzi na usalama kwa malengo ya kuboresha sector ya ulinzi binafsi na kuimarisha walinzi binafsi wenye ubora na ueledi mkubwa katika Jamie.
Wanafunzi wata takiwa kujifunza, ukakamavu wa uaskari, ulengaji shabaha, matumizi ya silaha na upelelezi wa kujitegemea na mengi. Kazi au hajira baada ya mafunzo yata patikana
Share this page with your family and friends.